NIFANYE NINI NINAPOITWA KATIKA INTERVIEW? JIBU KUTOKA KWA WAAJIRI

Kati ya mambo ambayo yanafanya tushindwe kuajiriwa ni namna tunavyojiweka tunapoenda katika interview. Post hii ni muendelezo wa mafunzo kutoka kwa Launchpad Tanzania pamoja na wadau wengine wa soko la ajira na elimu. Kama hukusoma post za . Isome hapa kisha tuende sambamba. MAFUNZO YA UAJIRIKAJI NA UJASIRIAMALI KUENDA NA KASI YA DUNIA Ukiachana na mavazi ambayo tunahisi ndo kitu […]

Read More →

KIJANA UNAKABILIANAJE NA DUNIA INAYOBADILIKA KWA KASI MNO ?

Post hii ni muendelezo wa mafunzo kutoka kwa Launchpad Tanzania pamoja na wadau wengine wa soko la ajira na elimu. Kama hukusoma post ya kwanza . Isome hapa kisha tuende sambamba. MAFUNZO YA UAJIRIKAJI NA UJASIRIAMALI Miaka 72 iliopita kompyuta ya kwanza iligunduliwa , ikachukua miaka mingine 42 kuweza kutengeneza kompyuta unayoweza kubeba ama laptop. Ikachukua miaka 18 kubuni Macbook […]

Read More →

MAFUNZO YA UAJIRIKAJI NA UJASIRIAMALI : LAUNCHPAD TANZANIA

Baada ya kuandika hii post, nikahisi nimemaliza. Kwamba nimeshawasihi vijana wenye utaalamu fulani kujitahidi kutumia ujuzi huo katika kuboresha mfumo wa kutoa huduma na kuzalisha bidhaa kwa ajili ya wananchi. Haikuwa hivyo Dakika chache baada ya kupost hii post, inbox yangu ikafurika na maswali. Umeniacha njia panda , ina maana unapinga watu ambao wameona vyeti vya chuo haviwapeleki kokote na […]

Read More →

OPTIONS FOR WHEN YOU CANT READ A BOOK

Reading has proved to be a great way to expand your knowledge and understanding among other benefits. however you cannot always get all the information you want from a book. Not that books don’t have it , but you probably are looking for a quick and recent source to challenge and inspire your thinking. So where do you go to […]

Read More →

TO MILLENIALS IN DEVELOPING COUNTRIES

To millennials in developing countries To millennials in colleges in developing countries To unemployed millennials in developing countries 2018 has begun, I believe it is going to be a better and different one.2017 has shown us possibilities we never knew existed as it was filled with amazing innovations, events and with the growing population and challenges, new ways to survive.2018 […]

Read More →

20 WAYS TO MAKE THE MOST OF YOUR TWENTIES

By Sam Brown  I know I’ve titled this blog post 20 Ways To Make The Most Of Your Twenties, but what I probably should have called it is 20 Things I’m Trying To Do To Make The Most Of My Twenties (it just didn’t have the same ring to it). The list in this blog post isn’t prescriptive or even a list of the things that have worked for me – I honestly don’t exactly know how to make the most of my twenties (plus I’m still only 26!). But I thought it might be helpful to share how I’m trying to make the most of my twenties. So here we are! It might be the case that your twenties haven’t shaped up the way you’d hoped they would. Or you’re scared you’ll waste or misuse the years that lay ahead of you. My hope here is only that I inspire you to think about how you’re going to make the most of your twenties, by sharing how I’m trying to do exactly the same thing (and just so you know, you can also follow my personal growth journey on my daily vlog . Blog posts like these are great for inspiration but completely useless if you don’t end up applying them! So my recommendation is simple. After reading this blog post, pick one of the things I mention in this list and begin to apply it to your life. Don’t feel […]

Read More →